Mfano — taarifa za mfano, hakuna kinachotumwa

Ona wageni wako wanachopokea

Huu ndio ukurasa ambao mgeni anaufungua kutoka kwenye mwaliko wa WhatsApp au SMS — pamoja na ukurasa wa tukio, ukurasa wa michango na kikagua kadi mlangoni. Jaribu kubofya: hakuna kinachohifadhiwa wala kutumwa.

Tengeneza wako

Anachofungua kila mgeni kutoka kwenye kiungo cha WhatsApp au SMS: kadi yake binafsi, ibada na tafrija, na vitufe vya kujibu, kutuma mwakilishi, kuangalia ratiba, kutuma salamu au kuwasiliana na kamati.

Karibu

Karibu Bw. & Bi. Mushi

Familia ya Mzee Mushi wanakualika kwenye

Harusi ya Juma & Neema

Kadi ya mwaliko ya Bw. & Bi. Mushi
Pakua kadi

Tarehe

Jumamosi, 12 Desemba 2026

Saa

Saa 4:00 asubuhi – Saa 6:00 mchana

Ukumbi

Kanisa la mfano, Kinondoni, Dar es Salaam

Mavazi

Rangi ya dhahabu na nyeupe

Mandhari

Dhahabu

Kadi yako

Kadi ya watu wawili · Meza 12

Mawasiliano

Kamati ya harusi · +255 7XX XXX XXX

Karibu tushiriki furaha ya ndoa ya Juma na Neema. Ibada ya ndoa itafuatiwa na tafrija jioni.

Fungua kwenye Google Maps

Tafrija

Tarehe

Jumamosi, 12 Desemba 2026

Saa

Saa 12:00 jioni

Ukumbi

Mlimani City Hall, Sam Nujoma Rd, Dar es Salaam

Fungua kwenye Google Maps

Utahudhuria?

Tafadhali jibu kabla ya Jumatatu, 30 Novemba 2026

Ahadi yako (mchango)

Angalia ahadi yako, salio na jinsi ya kulipa

Tuma salamu zako za heri

Onyesha kadi hii (QR code) mlangoni

Namba ya kadi

7K2M9QXA

Kadi ya watu wawili

Linki hii ni yako binafsi — tafadhali usiisambaze.

Uko tayari kuwaalika wageni wako?

Tengeneza tukio lako bure ukiwa na wageni wengi upendavyo na buni kadi. Tuma viungo binafsi bure, au tuma kwa SMS na WhatsApp kuanzia TZS 300 kwa kila mgeni.